Thursday, November 30, 2023

NADHARIA NYINGINE KUHUSU MATIBABU YA HIV:

Wataalam na Taasisi za afya wanafanya tafiti za afya ili kupata suluhu ya matatizo ya afya katika jamii, Licha ya tafiti mbali mbali zilizolenga kuondoa UKIMWI bado tatizo limekuwa sugu kwa kukosa mshikamano wa wadau wa afya kutokana na mitazamo yao Katika mapambano ya kutokomeza ugonjwa wa UKIMWI. Wagonjwa wengi wenye HIV wanapokea matibabu wanaweza kiholela holela kutokana na tofauti ya mitazamo iliyobaina ya wataalam wa afya na Taasisi.

Hivi sasa badoTaasisi na baadhi ya wataalam wa afya wanashikilia yenye mtazamo hasi yakuwa hakuna hakuna tiba wala chanjo ya HIV.

Nanukuu, "Rais wa jumuiya ya kimataifa ya UKIMWI, Dk. Adeeba Kamarulzaman kwa kusema "hamna chanjo au Tiba ya HIV".

Shirika la kimataifa la afya, Center for Disease Control and Prevention ( CDC ), Limetangaza kuwa hamna dawa inayotibu HIV moja kwa moja, isipokuwa unaweza kuipunguza makali kwa kutumia sindano na dawa ambazo zitapelekea mwili kupunguza kiwango cha virusi katika damu,  kiwango cha virusi katika damu kufikia idadi ya vivuli 200 kwa kila mililita moja ya damu. 

Hii ni baadhi ya mitazamo hasi dhidi ya UKIMWI ambayo imeshiliwa na Taasisi pamoja na Wataalam wa afya wanaoaminika Duniani.

Serikali ya jamhuri ya Muungano ya Tanzania, bado haijakata tamaa kwani kupitia Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI, ameitaka Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadam (NIMR) kujiimarisha zaidi kufanya tafiti za tiba asili na tiba mbadala ili kupata wigo mpana wa matibabu ya magonjwa mbali mbali bila madhara.

Moja ya Taasisi ya Tiba mbadala ambayo ishafanya tafiti na kuleta Dawa ya kutibu HIV ni kampuni ya NIHD, ambayo imefanya utafiti wa kina kwa miaka 26 na kugundua dawa ya Dawa PHV-39 Solution (NogaviTM) na PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kinga zidi ya janga la HIV pamoja na magonjwa mengine sugu.

Wapo waliokwisha kutumia na kupata matokeo chanya. Dawa hizi hazina vikwazo vya aina yoyote na utumiwa na kila mtu kuanzia watoto mchanga, watu mzima hadi wazee.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Kufanikiwa ni matokeo ya kuamini, na imani ni silaha ya kutimiza malengo yako.

Tuesday, November 28, 2023

HARAKATI ZA KUTOKOMEZA UKIMWI TANZANIA

Wataalam na taasisi Duniani za afya zinafanya tafiti mbali mbali kutafuta suluhisho la janga la UKIMWI, Miezi minne iliyopita serikali ya Tanzania iliamua kuweka azimio kabla ya miaka 10 kufika tatizo hili liwe lishapata suluhisho. Chanzo cha habari kutoka bunge la Tanzania inasema; 

Sheria imeruhusu mtu kujipima mwenyewe virusi vya UKIMWI. Sheria hii imeruhusu kijana kuanzia miaka 15 anaweza kupima HIV ili kutambua afya yake. 

Licha ya kurahisisha sheria za upimaji HIV, Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi za Afrika ambazo idadi ya maambukizi na vifo vya walioathirika imepungua, kutokana na uboreshaji wa mifumo ya afya , Ofisi ya waziri mkuu ya jamhuri ya muungano Tanzania imetoa takwimu ifuatayo; 

Tanzania imepunguza maambukizi ya HIV kwa asilimia themanini na nane (88%) na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa  asilimia hamsini (50%) kutoka idadi ya vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Takwimu hizi zimetolewa na serikali ambazo ni matokeo chanya katika mapambano yalioshirikisha Taasisi binafsi za afya kuuthibiti UKIMWI. 

Hayo yamelezwa mnamo tarehe 13/04/2023 Jijini Dodoma, Wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini ya hali ya UKIMWI nchini katika semina ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI. Serikali itaendelea kuweka jitihada katika kuzuia maambukizi mapya ya VVU na kuimarisha huduma za upimaji na matumizi ya ARV kwa makundi maalum, kuimarisha huduma za kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ili kutokomeza kabisa maambukizi hayo. 

Taasisi ya NIHD ambayo imefanya utafiti kuhusu tiba na kinga ya UKIMWI, imefanikisha katika utafiti binafsi wa miaka 26 takribani na kubaini kinga na tiba ya ugonjwa huu.

Dawa PHV-39 Solution (NogaviTM) na PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kinga zidi ya janga la UKIMWI pamoja na magonjwa mengine sugu. Dawa hizi tayari zimefanyiwa uthibitisho juu ya utendaji kazi wake na kuanza kutumika katika nafasi yake ya mbadala uliokuwa sahihi kwa mwenye kuijali afya yake.

Kwa ujumla dawa kutoka tasisi ya NIHD zimefanikiwa kuanza kutokomeza janga la UKIMWI pamoja na baadhi ya magonjwa sugu, hivi sasa watu waliowahi kutumia dawa hizi tangu mwaka 2015, baadhi wamepona na kuendelea na shughuri zao za kiuchumi bila ya ugonjwa, watoto wanaenda shule na kufanya vizuri katika ufaulu wao, wajawazito wanajifungua salama bila ya maambukizi kwa watoto wao, wenza wapo salama bila ya maambukizo. 

Licha ya UKIMWI dawa hizi zimekuwa tegemezi kwa afya ya watoto wachanga na wale wote wanaosumbuka na magonjwa sugu.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Maendeleo yanapatikana baada ya kuthamini kazi mlizozifanya

Thursday, November 23, 2023

Je wajua?

Watu wanaosahili kutumia dawa PHV-30A414 ni watoto wote wachanga kuanzia miezi sita na watu wenye sifa zifuatazo;

1. Aliyewahi kupatwa na maambukizo ya HIV na kupona,

2. Mwenye ugonjwa sugu wa UTI, Pumu, Magonjwa ya ngozi, Mwenye vikanga sehemu za siri au sehemu yeyote ile mwilini, Mwenye sinu karibu na tundu la haja kubwa, Mwenye seli mundu aliyetibiwa na kupona,Aliyewahi kufanyiwa bone marrow transplantation (UBOHO) , mwenye matatizo ya chango la kike, watoto wote waliokuwa wanasumbua kwa maradhi ya mara kwa mara wakiwa wachanga n.k

Dawa PHV-30A414  ni dawa ya kisasa zaidi kwani inatolewa kwa ajili kupandisha kinga za IgM ambazo zinajihusisha na uzuizi wa vimelea vya aina yoyote ile kuingia mwilini. Ni dawa inayotumika kwa ajili ya chanjo ya magonjwa yote.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Dunia ya sasa unahitajika upambanie afya yako huku ukimtanguliza kwa kila jambo lenye kheri mwenyezi mungu.

Wednesday, November 22, 2023

HALI YA MGONJWA KUTOKUJUA USAHIHI WA KILE KINACHOMSUMBUA

Mara nyingi Binadam usumbuliwa na fikra zake kwa kufikiri kwa kina juu ya taarifa anayoipata, taarifa hizi huwa ni vichocheo katika  uchakatwaji wa taarifa ili kupata majibu yanayostahili.

Lakini ikumbukwe kuwa matokeo ya uchakatwaji wa taarifa unaendana na uelewa wa mhusika. Wagonjwa walio wengi uamini dalili zinazojitokeza wazi wazi kwenye miili yao  kwa mfano, kuumwa kichwa, kuwashwa mwili, kuumwa tumbo, n.k. Wakiamini ya kwamba dalili hizi zinatokana na ugonjwa fulani, La asha! Bali dalili hizi zitakuwa sahihi iwapo zitakuwa zimepata uthibitisho wa mtaalamu wa afya kwa kuwa anauelewa zaidi kuhusiana na magonjwa.

Wataalamu wa afya wamesomea dalili na visibitisho vya utambuzi wa magonjwa katika taasisi zinazoaminika pia  wanauzoefu unaotosheleza kubaini uhalisia wa ugonjwa.

Kwa ujumla chanzo cha taarifa za magonjwa ni katika jamii pamoja na wataalamu wa afya, Sisi wataalamu wa afya utapotupatia taarifa zenye vielelezo vya ugonjwa tutazichukua na kuzifanyia uchunguzi wa kina na kubainisha ugonjwa na matibabu  yake kulingana na kile kinachokusumbua.

Magonjwa yanayorudia mara kwa mara katika maeneo fulani yanawapa wataalamu wa afya uzoefu wa kubaini kwa urahisi magonjwa na matibabuyake. 

Wengi wa wagonjwa wanaoumwa kwa kile walichokuwa wanakiamini awali, sisi jukumu letu ni kurekebisha mtazamo wa mgonjwa kwa kile anachokiamini ambacho  sio sahihi, kwani hicho ndicho kinachopelekea ugonjwa wake usipate tiba sahihi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +25578266070.

Neno la leo; Ishi kwa kutafakari.

Wednesday, November 15, 2023

Je wajua?

Tabia ni sawa na njia iliyozoeleka. Ni njia ambayo imeweka alama za mapito ambayo inajenga mazoea kwa Binadam kuifuata. 

Iwapo tabia hiyo umetambua kuwa si njema katika maisha na umeamua kuiacha basi ujue ni sawa kuiacha njia uliyoizoea na kupita sehemu ambayo awali hakuna mapito ya kirahisi kama vile unapita kwenye vichaka vya porini. 

Changamoto za kubadili tabia ni sawa na changamoto za kuacha njia na kuingia vichakani ambapo utakutana na vizuizi ambavyo vitakushawishi kuirejea njia ya awali. Kwa hiyo suala la kubadili tabia unahitajika ujidhatiti haswa na usikate tamaa na unapohisi kushindwa chukia na ujipe moyo kuwa hakuna kushindwa hapo ndipo utafanikiwa na kubadili tabia. 

Kubadili tabia ni mchakato unaofanywa na mwili pamoja na akili ukigharimu mda mrefu kidogo lakini inategemea namna ya hiyo tabia ilivyokuathiri.

Watu wenye kutumia madawa ya kulevya wameathirika na tabia za matumizi ya hayo madawa na madawa yenyewe. 

Kwa kutumia dawa Nucleated PHV-39 Solution  itaondoa madhara yote ya madawa ya kulevya itabakia tabia ambayo muhusika anahitajika kuikataa kutokana na madhara aliyoyapata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya. Dawa Nucleated PHV-39 Solution itamsababishia awe anapenda sana kula chakula badala ya madawa ya kulevya hapo ndipo atapata wepesi wa kuacha matumizi ya dawa za kulevya.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.

Neno la leo: Afya ni mtaji wa maisha bora

Tuesday, November 14, 2023

Umuhimu wa chanjo

Wataalam wa afya wanaposema watu wapate chanjo ina maana wanaishauri jamii kuhusiana na upandishaji wa kinga inayotokana na immoglobalin M (IgM). 

IgM ni muhimu sana katika mwili wa kiumbe kulingana na mazingira yanayomzunguka, kwani kiumbe kinatengeneza kinga ya kujiami zidi ya muingiliano wa pamoja kati ya mazingira na kiumbe. IgM  inapatikana kiurahisi iwapo utakuwa unakula matunda mara kwa mara lakini unaweza kuipata kwa kupatiwa chanjo. 

Wataalam wa Afya kwa kutumia sayansi za watu wa magharibi uwapatia chanjo watoto wachanga na hata baadhi ya watu wazima ili kujenga kinga maghsusi kwa baadhi ya magonjwa kwa mfano polio, surua, TB, Pneumonia na kadharika.

Katika tasisi yetu tunatoa chanjo inayoitwa PHV-30A414 ambayo upewa mtoto kuanzia umri wa miezi sita kwa ajili ya kinga za magonjwa yote, pia upewa watu wenye Saratani pamoja na waliotibiwa na kupona HIV wao pia wanahitaji hii kinga ya IgM.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +25578266070.

Neno la leo; pambana ili ujitambue kwa manufaa ya uwepo wako.

Wednesday, November 8, 2023

Umuhimu wa teknolojia mpya katika uboreshaji wa Afya ya jamii

Dunia ili iwe salama katika suluhu zilizotokana na  teknolojia lazima kuwe na uendelevu wa tafiti za kisayansi, kwani teknolojia mpya zinazogundulika zinatambua mabaya yaliyopita katika suluhisho lilofanyika kwa kutumia teknolojia ya zamani.

Kutokana na kupatikana kwa teknolojia mpya jamii ya wataalam wanapaswa kuzitumia ili kubaini mapungufu yaliyopo kwenye mambo ambayo zamani tulijiridhisha kuwa yapo sawa hususani katika afya. 

Tunatumia dawa za aina nyingi ambazo zimepitwa na wakati kwa kukosa kufanyiwa uchunguzi upya kwa kutumia teknolojia mpya kwa kuogopa kuharibu biashara za watu, hii inasababisha kuendelea kutumia madawa ambayo yamepitwa na wakati kwani tutaendelea kutumia dawa zilizopitishwa na teknolojia ya zamani ambazo zinamapungufu katika kubaini mapungufu ya dawa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.


Neno la leo:  kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa

Thursday, November 2, 2023

Namna ya upatikanaji jinsia kwa watoto

Mbegu za kiume zinahitaji yai la mwanamke ili ziungane kwa pamoja na kufanya mtoto ndani ya mji wa mimba. Licha ya mbegu hizi kubeba huluki za kemikali asilia ambazo ni pungufu hadi zijumuishe zile zilizo ndani ya yai pia ubeba vivuli vya uhalisia wa utendaji kazi wa mwili wa mwanaume kwa mfumo wa mionzi ya usumaku. Mionzi hii ya usumaku ya mwanamme ina nguvu zaidi kuliko ya mwanamke kwa sababu ya mwanamke imebeba vitu vingi ndani ya mwili ukilinganisha na ya mwanamme. Yaani nguvu ya mionzi hiyo kwa mwanaume ni asilimia 50 na asilimia 50 inatumika kuendeshea mwili wakati mwanamke anatumia asilimia 60 kuendeshea mwili wake na asilimia 40 tu ipo kwenye mayai. Lakini mionzi hii hudumu nje ya mwili wa asili kwa mda wa masaa 12 tu, na hii ndio sababu ya kuwa na nafasi kubwa ya kupata mtoto wa kike kuliko mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume upatikana baada ya mbegu za kiume zilizokuwa sawia kukutana na yai la mwanamke katika kipindi kisichozidi masaa manane, ila baada ya hapo mionzi ya usumaku ndani ya mbegu iliyobeba taswira ya mwanaume inapungua na kuipa nafasi ya mwanamke kushika hatamu. Mbegu za mwanamme uishi ndani ya mji wa mimba takribani kwa masaa 72 lakini zikiwa hazina mionzi ya usumaku uliobeba taswira ya mwanamme. Mbegu hizi ulelewa zikiwa hai kwa msaada wa miozi ya sumaku ya mwanamke. Hii ndio sababu ya kuwa na idadi kubwa ya uwezekano wa kupatikana kwa watoto wa kike kuliko wa kiume.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.

Neno la leo: Iwapo unaweza kuishi maisha ya zama za mawe hivi sasa kwa nini usiishi maisha ya mwaka 4000 au zaidi kwani maisha ya mwaka 4000 ni mharubaini wa changamoto zote za maisha ya hivi sasa! Karibu tujumuike na teknolojia za mwaka 4000.

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...