Wednesday, February 21, 2024

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia vijiji vyao na kukimbilia miji ya karibu kuepuka ugonjwa wa HIV/AIDS na kusababisha virusi vya HIV kusambaza nchini. Watu takriban 140,000 waliokuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI

Hadi kufikia mwaka 1998 ugonjwa wa HIV/AIDS umeshika kasi nchini na kufanikiwa kuua wanawake warembo na wanaume watanashati wengi mno inchini Tanzania. Wabunge waanza kuitaka serikali kupitia mbungeni uwezekano wa kuanza matumizi ya dawa za ARVs kwa maana tayari baadhi ya mataifa yalianza kutumia dawa hizo zinazosemekana kusaidia kupunguza makali ya HIV lakini kwa wakati huo walidai kuwa zinaongeza mda wa kuishi.

Mwaka 2000-2001 Watanzania 64 walifanyiwa  majaribio ya dawa ya Ukimwi ya Virodene kutoka Katika kampuni ya Pharmaceutical ( Pty ) Limited ya Afrika kusini, licha ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kutotoa kibali, Lakini wao walidai kupatiwa kibali, watu wote hao 64 Baada ya miaka 20 walikuja kugundulia wamedhurika kwenye viungo vya mwili kama vile ini na tumbo, ambapo walikwenda kushtaki polisi na polisi hawakuweza kuyaendesha mashtaka sababu kampuni ya virodene haikupewa kibali walipenya kiholela hapa Tanzania, Bali nchi nyingine walikataliwa sababu ya madhara yanayopatikana na Dawa hizo. ( mwananchi.co.tz )

Mwaka 2002 inasemekana dawa ARVs zilianza kuingia Tanzania na watu wenye ndugu waathirika walianza kuangaika kuzitafuta nchini.

Mwaka 2004 dawa za ARVs zilianza kutumika nchini Tanzania kwa msaada USAID kuwa ni wafadhili kwa mda wa miaka mitano.

Watu wengi waliotumia dawa za ARVs wakati huo walikuwa ni watu walioathirika kutokea miaka ya 1990 hadi 2003 na wale wa miaka ya tisini walikufa miaka 2013 hadi 2016 wengi wao walikuwa watu wazima.

Wakati dawa za ARVs zinaanza kutumika Tanzania, wagonjwa wengi wa HIV/AIDS waliletwa vituoni na ndugu zao kwa sababu wengi walikuwa wamezidiwa na Ugonjwa wa HIV/AIDS na baadhi tayari walikuwa wamechanganyikiwa. 

Baadhi ya waathirika walijiua kutokana na kutopata ushauri tosherezi. Matukio ya kujiua, kwa kujipiga risasi ama kujinyonga pamoja na kuiteketeza familia kujilipua kwa kujichoma na gesi ya moto kwenye konteina yalitokea nchini.

Katika mji wa Dar es salaam alikuwepo mtaalam wa tiba ambaye alijulikana kwa jina la BABU, tegeta aliweza kufanikiwa kupunguza makali ya HIV kwa tiba yake ya Sindano kila wiki. Hivi sasa huduma hiyo anaifanya aliyekuwa mke wake. Dawa yake inafaa kufanyiwa uchunguzi wa kina na kuhifadhiwa kwa  matumizi ya Binadamu kama ARVs zilipogunduliwa mwaka 1960 na hivi sasa zimekuwa tegemeo katika mapambano ya HIV.

Mwaka 2010 ufadhili wa dawa za ARVs umeanza kusimamishwa na serikali za Afrika kuhofia kubeba mzigo wa matibabu kwa maana tayari ilibainika kuwa TB ni ugonjwa nyemelezi kwa wagonjwa wa HIV na waathirika kuwa ni sehemu ya kueneza TB kwa watu wasio na maambukizi ya virusi vya HIV. Serikali za Afrika kipindi hicho zilipiga hatua kubwa za mapambano ya TB na ilipobainika kuwa TB ni moja ya magonjwa nyemelezi ilitishia kudhohofisha juhudi za awali zilizofanywa juu ya mapambao zidi ya TB.

Wakati huo waathirika walianzishiwa dawa za ARVs kwa kusubiri CD4 zishuke hadi kufikia kiwango cha CD4 350 kwa milita za ujazo wa damu. Hii ilitokana na mambo mawili makuu ambayo ni kupunguza madhara ya ARVs kwa mtumiaji na pia kipimo cha kutambua uwepo wa virusi mwilini vilikuwa havina uhakika wa kubaini hivyo. Kwa utaratibu huo ilibainika asilimia 20 ya watu waliobainika kuwa na HIV, CD4 zao zilikataa kushuka. 

Kwa sababu ya ugonjwa wa TB wataalam wa Afya walifuta utaratibu wa mwanzo wa mda sahihi wa kuanza matibabu ya ARVs na kutumika tu baada ya kutambulika kuwa una virusi vya HIV. Pia zilianzishwa kampeni za kuwa pima watu ili kuwatambua mapema kwa kuhofia kusambaa kwa Ugonjwa wa TB kwa jamii kutoka kwa waathirika wa HIV.

Mwaka 2016 maambukizi makubwa yalianza kujitokeza miongoni mwa watoto wadogo waliojiusisha na mapenzi. 

Watoto waliokuwa wamezaliwa na HIV wanashindwa kuwaambia wenzao kwa kuogopa kunyanyapaliwa na kushiriki ngono zembe na kuongeza kasi ya maambukizo miongoni mwa watoto. 

Kutokana na ugumu wa maisha watoto wengi walijihusisha kushiriki tendo la ndoa na watu wakubwa na kusambaza na kuambukizwa HIV. 

Elimu zilianza kutolewa mashuleni kuhusu ugonjwa wa HIV/AIDS hasa matumizi ya kondom.

Matumizi ya kondom kwa watu wazima yamekuwa changamoto kutokana na tatizo la nguvu ya kiume kushika kasi miongoni mwao. Tafiti zinaonyesha upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloongeza kasi ya kusambaa kwa virusi vya HIV katika jamii. 

HIV/AIDS hivi sasa ni ugonjwa unaendelea kushika kasi katika maambukizi miongoni mwa jamii kutokana na huduma zisizokuwa na viwango vya tahadhari ya maambukizi ya HIV zinazotolewa na vinyozi Saloon. Na sehemu nyingie ni kwenye madangulo yanayoendeshwa kwa mtindo wa kisasa kwenye bar za wazi.

Harakati nyingi zimefanywa zidi ya Ugonjwa wa HIV/AIDS lakini nyingi zimeshindwa kutokana na sababu za kiuchumi katika jamii.

Dawa zinazotolewa na wizara ya afya zinachelewesha tu kusambaa kwa maambukizi ya HIV, lakini nchi inapoteza fedha pamoja na lasimali watu, na iwapo juhudi binafsi hazitoshirikishwa kwa hili basi ifahamike kupata matokeo mabaya zaidi siku zijazo. ( NIHD )

Hivi sasa kuna jitihada zinaofanywa na kampuni ya NIHD kumaliza tatizo la HIV/AIDS kwa kutumia dawa za mfumo wa PHVs na kutoa elimu kuhusu ufahamu wa utatmbuzi wa hali mbalimbali za mwili wa Binadamu.

Shirika limetambua idadi ya watu Afrika mashariki ni takribani watu milioni mia mbili, na jumla ya vifo kila mwaka takribani milioni kumi na nne, milioni mbili kati vifo hivyo vinatokana na ugonjwa wa HIV/AIDS.

Shirika limeadhimia kutoa tiba ya dawa za mfumo wa PHVs, ambayo ni Gene therapy kwa watu wote wa Afrika mashariki ili kutokomeza janga la HIV/AIDS. Hivi sasa dawa zinatolewa kwa gharama binafsi ya shiringi milioni tatu kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi sita.

Dawa zinazotumika kwa ajili ya Ugonjwa HIV/AIDS ni; Nucleated PHV-39Solution, PHV-30A414, PHV-34A414, PHV-6ACTIVATOR na antbiotics kwa ajili ya magonjwa nyemelezi. Dawa za mfumo wa PHVs zinatokana na uboreshaji wa upatikanaji wa dawa za wataalam wa conventional medicine. Ni dawa za kisasa zaidi.

Baadhi ya taarifa tulizozipata ambazo zinahusiana na utafiti huu tuliofanya, Kutoka sehemu zifuatazo;

https://nihd.co.tz/societyform-2-https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/kilio-watanzania-64-waliofanyiwa-majaribio-dawa-ya-ukimwi-1--3436484

Kwa mawasiliano nasi simu namba +255782660707 au +255624066387 au whatsApp +255782660707 au unaweza tembelea tovuti yetu http://www.nihd.co.tz

Tuesday, February 13, 2024

Kirusi cha HIV ni kitu gani ndani ya mwili?

Kirusi cha HIV ni m-RNA ambayo imewekwa hitilafu kutokana na silaha ya kibailojia ya mwaka 1939.

Kawaida m-RNA uishi ndani ya seli ( kuteha ) ikiwa haina uchotara utakaoifanya kuishia na vilele viwili wakati wa safari ya mabadiliko kipindi cha nyuklia fisheni. Kwa upande wa HIV, m-RNA yake uishi nje ya seli kutokana na hitilafu iliyowekwa kwa makusudi na kuifanya kuwa na tabia ya kupasua seli na kuishi nje ya seli na kuendelea kufanya uhalibifu wa mifumo yote ya kinga.

Kipimo cha viral load test ni kipimo kinachopima uwiano wa viini tete hai asilia kutoka ndani ya seli iliyopasuka.

Kwa utendaji wa kipimo cha viral load test kinasaidia kutambua wingi wa virusi unaodhaniwa unatokana na tabia ya virusi vya HIV, kupasua seli za kinga, na ni kipimo kizuri kinachotanabaisha utendaji wa dawa za aina ya ARV nyingi, zenye kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI mwilini. ( NIHD )

HIV viral load tests look for RNA, the part of HIV that has the recipe for reproducing itself. They add an enzyme, a kind of protein, to make more copies of the RNA. This makes it easier to measure how much HIV is in your blood sample. HIV viral load test indicates viral replication and is often conducted to monitor progress of antiretroviral therapy ( testing.com )

Dawa Nucleated PHV-39 Solution ni kirusi kisichokuwa na madhara mwilini chenye asili ya DNA nje ya seli mwilini. Ni kirusi kinachozalisha m-RNA iwapo kitapambana ana kwa ana na kirusi cha HIV. Kirusi cha HIV kinashindwakuzalisha DNA yake pindi kikipambana na DNA ya Nucleated PHV-39. 

Hivi sasa kunamkanganyiko wa kukosa elimu ya kutosha kwa wahudumu wa afya nchini kwa watu wanaotumia dawa PHV-39 solution kwa ajili ya kutibu HIV, kwani kipimo cha viral load test kinashindwa kutofautisha m-RNA ya HIV na ile inayotokana na dawa Nucleated PHV-39 Solution. 

Kiasi kikubwa cha virusi kinachogunduliwa na kipimo cha viral load test kwa m-RNA ya HIV idadi huweza fika 100,000 au milioni 1 na zaidi hapo ugonjwa unakuwa umekomaa na kushambulia mwili mzima. Ila baada ya kutumia Dawa ya Nucleated PHV-39 Solution kipimo cha viral load test awali kitasoma kiwango kidogo virusi vya HIV na baada ya miezi mitatu kupita kipimo kitaanza kusoma idadi kubwa ya virusi vinavyotokana na dawa Nucleated PHV-39 Solution idadi ambayo itafika milioni 2 mpaka 3. Idadi ya virusi vinavyotokana na dawa Nucleated PHV-39 Solution kadri inavyokuwa kubwa inaonyesha kuwa muathirika wa HIV amepata maambukizo hayo mda mrefu uliopita.

Tofauti kubwa baina ya wingi wa virusi mwilini baina ya vile vinavyotokana na matumizi ya dawa Nucleated PHV-39 Solution na HIV ni ;-

Virusi vya HIV vinasababisha UKIMWI (AIDS) na vya Dawa Nucleated PHV-39 Solution usababisha ONGEZEKO LA KINGA MWILINI  (OKIMWI) AISS (Aquired Immuno Strength Syndrome.

Kipimo cha viral load test kinaweza kutumika kujua wingi wa virusi vya PHVs ndani ya damu, Wingi wa virusi mwilini vitakidhi hitaji la afya bora ya mwili ndani ya miaka minne hadi mitano ya kupona mwili kutokana na virusi vya HIV. Wakati huu viral load test itaonyesha virusi havionekani mwilini.

Dawa Nucleated PHV-39 Solution ni dawa ambayo inatibu UKIMWI kwa kufuatilia na kuviua virusi vyote madhara vya HIV mwilini. ( NIHD ).

Baadhi ya taarifa tulizozipata ambazo zinahusiana na utafiti huu tuliofanya, Kutoka sehemu zifuatazo;

-https://nihd.co.tz/societyform-2

-https://www.testing.com/tests/hiv-viral-load/

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs pitia website yetu link ( https://nihd.co.tz/product )

Thursday, January 18, 2024

PHV-39 SOLUTION

Dawa PHV-39 Soluttion ni dawa yenye uwezo wa kupasua kemikali ndani ya ATP ya kirusi cha HIV ambazo ni kemikali muhimu katika Uhai wa kirusi. Dawa PHV-39 Solution yenye atomiki masi 293 na uwezo wa kupenya katika tishu wa atomiki masi 117, inaifanya kuwa dawa isiyokuwa na madhara mwilini. Dawa ietengenezwa katika hali ya kimiminika ambacho kimebeba taarifa sahihi za kiambata dawa. Taarfa zilizobebwa na kimiminika upokelewa na mwili na kufanya kazi iliyokusudiwa kutokana na sayansi ya tiba iliyotumika mwili utambua nini cha kufanya kuhusu vimelea madhara vilivyomo mwilini.

Dawa PHV-39 Solution utolewa kulingana na umri pamoja na uzito. Dozi moja au mbili utolewa kila baada ya siku sitini, kwa jumla ya awamu tisa ndani ya kipindi cha mda wa miezi 18 kwa ajili ya kutibu HIV na magonjwa kadhaa sugu.

Utendaji kazi wa Dawa PHV-39 Solution ni tofauti na dawa nyingine za ARVs, kwani inatengeneza nyuklia nje ya seli (kuteha) ambayo haina Saitoplazm na kupelekea kwa wepesi zaidi kuvamiwa na virusi vya HIV. Virusi vya HIV ili viweze kuzaliana mwilini vinahitaji uwepo wa Saitoplazm ambayo imebeba vimen’genyo lishe ambavyo vitawezesha kirusi cha HIV kufikia vilele viwili tofauti vya nyuklia fission, vilele ambavyo ni tofauti na asili ya seli (kuteha ) za Binadam.

Baada ya kuvamiwa nyuklia iliyotengenezwa na taarifa zilizotokana na kiambata dawa mwilini huluki za kemikali ndani ya ATP ya kirusi upasuka ili kutoshereza hitaji la nyuklia fission ya kirusi, na hatimae kujitengeneza kwa upande mmoja gamba gumu la kiprotini ambalo utolewa msilini kupitia figo  na pia kuzalishwa kwa hewa ya Oksijeni na Naitrojeni ambazo utolewa kupitia figo, ngozi na mapafu. Upande wa pili wa nyuklia fissioni utengenezwa sRNA ambayo ni sawa na ya Binadam ambayo uvamia seli(kuteha) zilizo na virusi mwilini na kuvitoa nje ya seli (kuteha) virusi na mzunguko wa kuviua kuanza tena.

Wingi wa virusi vya HIV uongezeka nje ya seli (kuteha) kutokana na utolewaji wa virusi ndani ya seli(kuteha). Dozi ya dawa PHV-39 Solution zinzhitajika kuongezwa ili kuunda nyuklia nyingi zaidi kwa ajili ya kukabiliana na ungezeko la virusi vya HIV kutoka nadani ya seli (kuteha). Hii ni moja ya sababu kubwa ya kutumika kwa dawa PHV-39 Solution kwa kipindi kirefu. Sababu nyingine ni kuzuia uharibifu wa seli (kuteha) utakaofanywa na wingi wa virusi nje ya seli (kuteha) na kukidhi hitaji la marekebisho ya madhara yaliyosababishwa na uwepo wa virusi vya HIV mwilini.

Dawa ya PHV-39 Solution ufanya kazi nyingi za manufaa katika kuimarisha afya ya mwili, kurejesha nafasi ya utashi wa uhai wa Binadam, kuondoa madhara yaliyosababishwa na uwepo wa virusi mwilini na kuua virusi madhara mwilini.

Elimu ya virusi halisia imefichwa na kutolewa ile yenye maslahi ambayo inasababisha taharuki katika jamii, lakini virusi Ulimwenguni vimegawanyika katika makundi makuuu mawili, vyenye kuleta madhara na visivyokuwa na madhara kwa viumbe. Viumbe vyote ulimwenguni vimepitia katika hali ya kuwa virusi na baadaye kuwa viumbe kamili. Ishara ya uwepo wa viumbe Ulimwenguni ni uwepo wa virusi.

Virusi vya HIV ni virusi madhara vilivyotokana na vita kuu vya pili mwaka 1939. Tunayafafanua haya ili mpate kujua na kutathimini njia iliyosahihi kupambana na janga la HIV/UKIMWI.

Unapotumia dawa PHV-39 Solution baada ya miaka minne hadi mitano idadi katika uwiano,  virusi huwa sefuri, ikimaanisha virusi vyote mwilini utoweka.  

Tuesday, December 5, 2023

UKWELI WA TIBA YA UKIMWI:

Wataalam wa afya, wako wengi kipindi hiki, lakini wabobezi waliowekeza muda wao zaidi kufanya tafiti za kina kupata suluhisho la matatizo mbali mbali ya afya ni wachache, Wengi wamekuja na mpango mkakati lakini haukuweza kunufaisha jamii bali ndio umekuwa chanzo kikuu cha ugonjwa kuwa sugu. 

Katika kutafuta suluhisho la kutibu UKIMWI unaosababishwa na HIV baadhi ya wataalam wa afya hususani wa " Conventional medicine "waliweka matibabu yajulikanayo kwa jina la  "  Antiretroviral Therapy" ambayo hayakidhi haja ya tatizo ipasavyo.

Moja ya shirika linalosimamia tafiti za afya katika nchi mojawapo ughaibuni linaloitwa  " National Library of Medicine" ( NIH ), Limetoa ripoti ya kutoka katika Shirika la tafiti la dawa la " PubMed Central ( PMC ) " ambalo nanukuu maelezo yao

"Licha ya Tiba ya Antiretroviral Therapy kuwa na mafanikio makubwa na watu kuwa na kuamini uwezekano wa kumalizika kwa janga la UKIMWI kwa wale ambao wamehamasishwa kuchukua matibabu na wanaoweza kupata matibabu ya maisha yote, na magonjwa yanayoambatana na UKIMWI sio tishio kuu tena, lakini seti mpya ya shida zinazohusiana na VVU zimeibuka, na kusababisha ugonjwa kuwa sugu na kuenea kwa watu".

Taasisi ya afya ya Marekani ya " American Gene Technologies" haijaenda mbali na Taasisi nyingine kwa kugundua matibabu kama hayo ya Antiretroviral therapy lakini wamedhihirisha ya kwamba virusi vya UKIMWI huwa havionekani wakati mgonjwa anaendelea kupata tiba kwani vinajificha kwenye KITEKIUHAKI na hivo kinga ya mwili kushindwa kupambana navyo kwa sababu dawa kushindwa kuivifikia virusi vilivyokuwepo ndani ya KITEKIUHAKI, Na hivi virusi vinaweka makazi kwenye Kuteha T wakati wa matibabu na kuanza tena kujizalisha pindi matibabu yanapokuwa yameisha hivyo kupona kunakuwa hakuwezekani.

Kampuni ya NIHD yenye kutumia teknolojia ya hali ya juu katika utafiti wa dawa imefanikiwa kugundua dawa ya HIV ambayo ipo kwenye mfumo wa " Gene Therapy", iliyopewa jina la PHV-39 Solution (NogaviTM) na nyingine PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kusisimua kinga ya mwili zidi ya janga la HIV pamoja na magonjwa mengine sugu.

kwa ujasiri mkubwa kampuni ya NIHD inaiomba jamii iridhie matibabu yanayotokana na kampuni hii binafsi, kwani kutokomezwa kwa janga hili kuna manufaa makubwa katika ustawi na ukuaji wa jamii.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Haujachelewa tafakari ufanye maamuzia1

Thursday, November 30, 2023

NADHARIA NYINGINE KUHUSU MATIBABU YA HIV:

Wataalam na Taasisi za afya wanafanya tafiti za afya ili kupata suluhu ya matatizo ya afya katika jamii, Licha ya tafiti mbali mbali zilizolenga kuondoa UKIMWI bado tatizo limekuwa sugu kwa kukosa mshikamano wa wadau wa afya kutokana na mitazamo yao Katika mapambano ya kutokomeza ugonjwa wa UKIMWI. Wagonjwa wengi wenye HIV wanapokea matibabu wanaweza kiholela holela kutokana na tofauti ya mitazamo iliyobaina ya wataalam wa afya na Taasisi.

Hivi sasa badoTaasisi na baadhi ya wataalam wa afya wanashikilia yenye mtazamo hasi yakuwa hakuna hakuna tiba wala chanjo ya HIV.

Nanukuu, "Rais wa jumuiya ya kimataifa ya UKIMWI, Dk. Adeeba Kamarulzaman kwa kusema "hamna chanjo au Tiba ya HIV".

Shirika la kimataifa la afya, Center for Disease Control and Prevention ( CDC ), Limetangaza kuwa hamna dawa inayotibu HIV moja kwa moja, isipokuwa unaweza kuipunguza makali kwa kutumia sindano na dawa ambazo zitapelekea mwili kupunguza kiwango cha virusi katika damu,  kiwango cha virusi katika damu kufikia idadi ya vivuli 200 kwa kila mililita moja ya damu. 

Hii ni baadhi ya mitazamo hasi dhidi ya UKIMWI ambayo imeshiliwa na Taasisi pamoja na Wataalam wa afya wanaoaminika Duniani.

Serikali ya jamhuri ya Muungano ya Tanzania, bado haijakata tamaa kwani kupitia Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI, ameitaka Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadam (NIMR) kujiimarisha zaidi kufanya tafiti za tiba asili na tiba mbadala ili kupata wigo mpana wa matibabu ya magonjwa mbali mbali bila madhara.

Moja ya Taasisi ya Tiba mbadala ambayo ishafanya tafiti na kuleta Dawa ya kutibu HIV ni kampuni ya NIHD, ambayo imefanya utafiti wa kina kwa miaka 26 na kugundua dawa ya Dawa PHV-39 Solution (NogaviTM) na PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kinga zidi ya janga la HIV pamoja na magonjwa mengine sugu.

Wapo waliokwisha kutumia na kupata matokeo chanya. Dawa hizi hazina vikwazo vya aina yoyote na utumiwa na kila mtu kuanzia watoto mchanga, watu mzima hadi wazee.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Kufanikiwa ni matokeo ya kuamini, na imani ni silaha ya kutimiza malengo yako.

Tuesday, November 28, 2023

HARAKATI ZA KUTOKOMEZA UKIMWI TANZANIA

Wataalam na taasisi Duniani za afya zinafanya tafiti mbali mbali kutafuta suluhisho la janga la UKIMWI, Miezi minne iliyopita serikali ya Tanzania iliamua kuweka azimio kabla ya miaka 10 kufika tatizo hili liwe lishapata suluhisho. Chanzo cha habari kutoka bunge la Tanzania inasema; 

Sheria imeruhusu mtu kujipima mwenyewe virusi vya UKIMWI. Sheria hii imeruhusu kijana kuanzia miaka 15 anaweza kupima HIV ili kutambua afya yake. 

Licha ya kurahisisha sheria za upimaji HIV, Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi za Afrika ambazo idadi ya maambukizi na vifo vya walioathirika imepungua, kutokana na uboreshaji wa mifumo ya afya , Ofisi ya waziri mkuu ya jamhuri ya muungano Tanzania imetoa takwimu ifuatayo; 

Tanzania imepunguza maambukizi ya HIV kwa asilimia themanini na nane (88%) na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa  asilimia hamsini (50%) kutoka idadi ya vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Takwimu hizi zimetolewa na serikali ambazo ni matokeo chanya katika mapambano yalioshirikisha Taasisi binafsi za afya kuuthibiti UKIMWI. 

Hayo yamelezwa mnamo tarehe 13/04/2023 Jijini Dodoma, Wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini ya hali ya UKIMWI nchini katika semina ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI. Serikali itaendelea kuweka jitihada katika kuzuia maambukizi mapya ya VVU na kuimarisha huduma za upimaji na matumizi ya ARV kwa makundi maalum, kuimarisha huduma za kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ili kutokomeza kabisa maambukizi hayo. 

Taasisi ya NIHD ambayo imefanya utafiti kuhusu tiba na kinga ya UKIMWI, imefanikisha katika utafiti binafsi wa miaka 26 takribani na kubaini kinga na tiba ya ugonjwa huu.

Dawa PHV-39 Solution (NogaviTM) na PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kinga zidi ya janga la UKIMWI pamoja na magonjwa mengine sugu. Dawa hizi tayari zimefanyiwa uthibitisho juu ya utendaji kazi wake na kuanza kutumika katika nafasi yake ya mbadala uliokuwa sahihi kwa mwenye kuijali afya yake.

Kwa ujumla dawa kutoka tasisi ya NIHD zimefanikiwa kuanza kutokomeza janga la UKIMWI pamoja na baadhi ya magonjwa sugu, hivi sasa watu waliowahi kutumia dawa hizi tangu mwaka 2015, baadhi wamepona na kuendelea na shughuri zao za kiuchumi bila ya ugonjwa, watoto wanaenda shule na kufanya vizuri katika ufaulu wao, wajawazito wanajifungua salama bila ya maambukizi kwa watoto wao, wenza wapo salama bila ya maambukizo. 

Licha ya UKIMWI dawa hizi zimekuwa tegemezi kwa afya ya watoto wachanga na wale wote wanaosumbuka na magonjwa sugu.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Maendeleo yanapatikana baada ya kuthamini kazi mlizozifanya

Thursday, November 23, 2023

Je wajua?

Watu wanaosahili kutumia dawa PHV-30A414 ni watoto wote wachanga kuanzia miezi sita na watu wenye sifa zifuatazo;

1. Aliyewahi kupatwa na maambukizo ya HIV na kupona,

2. Mwenye ugonjwa sugu wa UTI, Pumu, Magonjwa ya ngozi, Mwenye vikanga sehemu za siri au sehemu yeyote ile mwilini, Mwenye sinu karibu na tundu la haja kubwa, Mwenye seli mundu aliyetibiwa na kupona,Aliyewahi kufanyiwa bone marrow transplantation (UBOHO) , mwenye matatizo ya chango la kike, watoto wote waliokuwa wanasumbua kwa maradhi ya mara kwa mara wakiwa wachanga n.k

Dawa PHV-30A414  ni dawa ya kisasa zaidi kwani inatolewa kwa ajili kupandisha kinga za IgM ambazo zinajihusisha na uzuizi wa vimelea vya aina yoyote ile kuingia mwilini. Ni dawa inayotumika kwa ajili ya chanjo ya magonjwa yote.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Dunia ya sasa unahitajika upambanie afya yako huku ukimtanguliza kwa kila jambo lenye kheri mwenyezi mungu.

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...