Wednesday, February 21, 2024

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia vijiji vyao na kukimbilia miji ya karibu kuepuka ugonjwa wa HIV/AIDS na kusababisha virusi vya HIV kusambaza nchini. Watu takriban 140,000 waliokuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI

Hadi kufikia mwaka 1998 ugonjwa wa HIV/AIDS umeshika kasi nchini na kufanikiwa kuua wanawake warembo na wanaume watanashati wengi mno inchini Tanzania. Wabunge waanza kuitaka serikali kupitia mbungeni uwezekano wa kuanza matumizi ya dawa za ARVs kwa maana tayari baadhi ya mataifa yalianza kutumia dawa hizo zinazosemekana kusaidia kupunguza makali ya HIV lakini kwa wakati huo walidai kuwa zinaongeza mda wa kuishi.

Mwaka 2000-2001 Watanzania 64 walifanyiwa  majaribio ya dawa ya Ukimwi ya Virodene kutoka Katika kampuni ya Pharmaceutical ( Pty ) Limited ya Afrika kusini, licha ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kutotoa kibali, Lakini wao walidai kupatiwa kibali, watu wote hao 64 Baada ya miaka 20 walikuja kugundulia wamedhurika kwenye viungo vya mwili kama vile ini na tumbo, ambapo walikwenda kushtaki polisi na polisi hawakuweza kuyaendesha mashtaka sababu kampuni ya virodene haikupewa kibali walipenya kiholela hapa Tanzania, Bali nchi nyingine walikataliwa sababu ya madhara yanayopatikana na Dawa hizo. ( mwananchi.co.tz )

Mwaka 2002 inasemekana dawa ARVs zilianza kuingia Tanzania na watu wenye ndugu waathirika walianza kuangaika kuzitafuta nchini.

Mwaka 2004 dawa za ARVs zilianza kutumika nchini Tanzania kwa msaada USAID kuwa ni wafadhili kwa mda wa miaka mitano.

Watu wengi waliotumia dawa za ARVs wakati huo walikuwa ni watu walioathirika kutokea miaka ya 1990 hadi 2003 na wale wa miaka ya tisini walikufa miaka 2013 hadi 2016 wengi wao walikuwa watu wazima.

Wakati dawa za ARVs zinaanza kutumika Tanzania, wagonjwa wengi wa HIV/AIDS waliletwa vituoni na ndugu zao kwa sababu wengi walikuwa wamezidiwa na Ugonjwa wa HIV/AIDS na baadhi tayari walikuwa wamechanganyikiwa. 

Baadhi ya waathirika walijiua kutokana na kutopata ushauri tosherezi. Matukio ya kujiua, kwa kujipiga risasi ama kujinyonga pamoja na kuiteketeza familia kujilipua kwa kujichoma na gesi ya moto kwenye konteina yalitokea nchini.

Katika mji wa Dar es salaam alikuwepo mtaalam wa tiba ambaye alijulikana kwa jina la BABU, tegeta aliweza kufanikiwa kupunguza makali ya HIV kwa tiba yake ya Sindano kila wiki. Hivi sasa huduma hiyo anaifanya aliyekuwa mke wake. Dawa yake inafaa kufanyiwa uchunguzi wa kina na kuhifadhiwa kwa  matumizi ya Binadamu kama ARVs zilipogunduliwa mwaka 1960 na hivi sasa zimekuwa tegemeo katika mapambano ya HIV.

Mwaka 2010 ufadhili wa dawa za ARVs umeanza kusimamishwa na serikali za Afrika kuhofia kubeba mzigo wa matibabu kwa maana tayari ilibainika kuwa TB ni ugonjwa nyemelezi kwa wagonjwa wa HIV na waathirika kuwa ni sehemu ya kueneza TB kwa watu wasio na maambukizi ya virusi vya HIV. Serikali za Afrika kipindi hicho zilipiga hatua kubwa za mapambano ya TB na ilipobainika kuwa TB ni moja ya magonjwa nyemelezi ilitishia kudhohofisha juhudi za awali zilizofanywa juu ya mapambao zidi ya TB.

Wakati huo waathirika walianzishiwa dawa za ARVs kwa kusubiri CD4 zishuke hadi kufikia kiwango cha CD4 350 kwa milita za ujazo wa damu. Hii ilitokana na mambo mawili makuu ambayo ni kupunguza madhara ya ARVs kwa mtumiaji na pia kipimo cha kutambua uwepo wa virusi mwilini vilikuwa havina uhakika wa kubaini hivyo. Kwa utaratibu huo ilibainika asilimia 20 ya watu waliobainika kuwa na HIV, CD4 zao zilikataa kushuka. 

Kwa sababu ya ugonjwa wa TB wataalam wa Afya walifuta utaratibu wa mwanzo wa mda sahihi wa kuanza matibabu ya ARVs na kutumika tu baada ya kutambulika kuwa una virusi vya HIV. Pia zilianzishwa kampeni za kuwa pima watu ili kuwatambua mapema kwa kuhofia kusambaa kwa Ugonjwa wa TB kwa jamii kutoka kwa waathirika wa HIV.

Mwaka 2016 maambukizi makubwa yalianza kujitokeza miongoni mwa watoto wadogo waliojiusisha na mapenzi. 

Watoto waliokuwa wamezaliwa na HIV wanashindwa kuwaambia wenzao kwa kuogopa kunyanyapaliwa na kushiriki ngono zembe na kuongeza kasi ya maambukizo miongoni mwa watoto. 

Kutokana na ugumu wa maisha watoto wengi walijihusisha kushiriki tendo la ndoa na watu wakubwa na kusambaza na kuambukizwa HIV. 

Elimu zilianza kutolewa mashuleni kuhusu ugonjwa wa HIV/AIDS hasa matumizi ya kondom.

Matumizi ya kondom kwa watu wazima yamekuwa changamoto kutokana na tatizo la nguvu ya kiume kushika kasi miongoni mwao. Tafiti zinaonyesha upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloongeza kasi ya kusambaa kwa virusi vya HIV katika jamii. 

HIV/AIDS hivi sasa ni ugonjwa unaendelea kushika kasi katika maambukizi miongoni mwa jamii kutokana na huduma zisizokuwa na viwango vya tahadhari ya maambukizi ya HIV zinazotolewa na vinyozi Saloon. Na sehemu nyingie ni kwenye madangulo yanayoendeshwa kwa mtindo wa kisasa kwenye bar za wazi.

Harakati nyingi zimefanywa zidi ya Ugonjwa wa HIV/AIDS lakini nyingi zimeshindwa kutokana na sababu za kiuchumi katika jamii.

Dawa zinazotolewa na wizara ya afya zinachelewesha tu kusambaa kwa maambukizi ya HIV, lakini nchi inapoteza fedha pamoja na lasimali watu, na iwapo juhudi binafsi hazitoshirikishwa kwa hili basi ifahamike kupata matokeo mabaya zaidi siku zijazo. ( NIHD )

Hivi sasa kuna jitihada zinaofanywa na kampuni ya NIHD kumaliza tatizo la HIV/AIDS kwa kutumia dawa za mfumo wa PHVs na kutoa elimu kuhusu ufahamu wa utatmbuzi wa hali mbalimbali za mwili wa Binadamu.

Shirika limetambua idadi ya watu Afrika mashariki ni takribani watu milioni mia mbili, na jumla ya vifo kila mwaka takribani milioni kumi na nne, milioni mbili kati vifo hivyo vinatokana na ugonjwa wa HIV/AIDS.

Shirika limeadhimia kutoa tiba ya dawa za mfumo wa PHVs, ambayo ni Gene therapy kwa watu wote wa Afrika mashariki ili kutokomeza janga la HIV/AIDS. Hivi sasa dawa zinatolewa kwa gharama binafsi ya shiringi milioni tatu kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi sita.

Dawa zinazotumika kwa ajili ya Ugonjwa HIV/AIDS ni; Nucleated PHV-39Solution, PHV-30A414, PHV-34A414, PHV-6ACTIVATOR na antbiotics kwa ajili ya magonjwa nyemelezi. Dawa za mfumo wa PHVs zinatokana na uboreshaji wa upatikanaji wa dawa za wataalam wa conventional medicine. Ni dawa za kisasa zaidi.

Baadhi ya taarifa tulizozipata ambazo zinahusiana na utafiti huu tuliofanya, Kutoka sehemu zifuatazo;

https://nihd.co.tz/societyform-2-https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/kilio-watanzania-64-waliofanyiwa-majaribio-dawa-ya-ukimwi-1--3436484

Kwa mawasiliano nasi simu namba +255782660707 au +255624066387 au whatsApp +255782660707 au unaweza tembelea tovuti yetu http://www.nihd.co.tz

1 comment:

  1. Huo utafiti mbona uliacha maafa kwa waliofanyiwa majaribio hayo ya kimwili na hawakupona.

    ReplyDelete

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...