Je wajua?
Seli zinazojihusisha na kinga za mwili ndizo zinazoshikiria uhai wa mwili wa Binadam, haya yalibainika tangu watafiti walipoanza kuanzisha matibabu ya tahadhari (chanjo) zidi ya mwili wa Binadam. Imeonekana ya kuwa mwili wa Binadam unapopatwa na uwambukizo wa vimelea vya maradhi yenye kuanzia kundi la DNA namba 5, 23, 28 na zaidi, mwili upata fulsa ya kutengeneza kinga, lakini hatua hiyo husababisha mahitaji makubwa yalio ya haraka ya chakula mwilini (njaa kali) ambayo hutokana na mahitaji makubwa ya uzalishaji wa kinga mwilini. Hali hii usimamisha au kupunguza usambazwaji wa kila siku wa chakula hitajika katika mifumo mingine mwilini na kuifanya kuwa hafifu katika utendajikazi mwilini. Kutokana na sababu hii ghafla hamu ya chakula inatoweka na kuanza kuhisi kushindwa kula kwa mhusika. Mwishowe hali hii usababisha kifo, kwa maana mifumo mingi ya mwili itakosa chakula na kusimama kufanya kazi. Kwa kuliona hili watafiti wa madawa ya Binadam wakaja na utatuzi kwa kutumia dawa za kusisimua kinga (chanjo). Dawa hizi awali zilihusisha DNA namba 6, 23, 29 na zaidi ambazo zipo katika external storage of natural dependant nuclear plant ya mwili wa Binadam lakini hivi sasa watafiti wa nchi za magharibi wameanza kujua namna ya kutengeneza chanjo zifaazo kuanzia DNA namba 20,21,22 kwa ajili ya ugonjwa wa COVID-19 na nchini Tanzania Chanjo PHV ambayo kwa hivi sasa inaitwa PHV-39 Solution ambayo ni chanjo kuanzia DNA namba 14. Chanjo za awali hutengenezwa na vimelea vya maradhi ambavyo ni vimehasiwa na havina uwezo wa kuzaliana sana iwapo vitaingizwa ndani ya mwili wa Binadam. Kwa hiyo vitasimamisha hitajiko kubwa la chakula na kufanikisha mwili kutengeneza kinga kwa kiwango fulani ambacho kitasaidia mahitaji makubwa ya chakula mwilini pindi utakapopatwa na maradhi mapya ya uwambukizo ulioanzishiwa chanjo husika. Kwa hiyo chanjo haizuii kuumwa bali up upunguza hitajiko kubwa la chakula mwilini pindi utakapopatwa na maambukizo husika na kuzuia kifo kinanachotokana na kusimama kwa mifumo mingine mwilini kwa sababu la hitajiko kubwa la chakula mwilini.
Kwa maelezo zaidi kuhusu PHV-39 Solution, na magonjwa sugu na afya ya Binadam, wasiliana nami kwa simu namba +255782660707, au +255624066387 au whatssap kwa namba hizo.
Neno la Leo, yule ambaye ya jana yake na ya leo yake ipo sawa basi ajue ana hasara kubwa!