1. Kukosa usingizi,
2. Kuwa na hali ya wasi wasi,
3. Kuhisi moyo unaning'inia,
4. Kichwa kuuma sana kizogoni,
5. Kuamka usingizini kwa sababu ya kichwa kuuma na iwapo utapata mkojo kichwa utulia,
6. Kichwa kuuma sana wakati ukiwa umetulia na unapotembea upata haueni,
Kichwa kuuma iwapo umetembea juani kwa mda wa nusu saa tuh,
7. kizunguzungu,
8. Kujihisi unakosa pumzi,
9. Kwa mama mjazito kuvimba miguu na kifafa cha mimba,
10. Tabia ya kupata mshtuko hadi kujisikia ovyo mwilini kwa tukio la ghafla.
Kwa maelezo zaidi kuhusu shindikizo la juu la damu na dawa za mfumo wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707
Neno la leo: furaha ya maisha ni afya bora.
No comments:
Post a Comment