Msongo wa mawazo ni chanzo kikuu kimojawapo kinachoathiri afya katika jamii. Ni chanzo ambacho kinauwezo wa kusababisha matatizo ya aina mbali mbali ya afya yasiyotarajiwa, kwa sababu hii ni tatizo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kulifahamu kwa undani ili kuweza kukabiliana nalo.
Tatizo hili ni muendelezo wa fikra zilizokosa majibu sahihi kutokana na asili ya binadamu ambapo katika mchakato wa kifikra kunatokea mkanganyiko wa taarifa zinazohitajika mwilini kwa wakati husika na sehemu sahihi ya mwili.
Taarifa hizi zinaambatana na vitendo ndani ya mwili na kusababisha athari za kiafya.
Kukabiliana na msongo wa mawazo kunatakiwa kila mmoja wetu awe na;
1. Elimu toshelezi ya utambuzi wa hali aliyokuwa nayo ya kiafya,
2. Kutafuta furaha ili kusahulisha mawazo yanayomsonga kuhusu afya yake kwa muda mrefu,
3. Kuhakikisha muda mwingi katika siku unautumia kwa kufanya kazi,
4. Kujizuia na upweke wakutokuwa na shughuli za kufanya,
5. Kufuata ratiba nzuri ya ulaji wa chakula,
6. Kufanya mazoezi ya afya mwisho wa siku kwa wiki mara tano hadi saba,
7. Kupata usingizi bora,
8. Kutumia dawa inayoitwa PHV-28/32A414.
Kwa maelezo zaidi kuhusu afya na dawa za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au whatsApp +255782660707
Neno la leo; Kuamini na kutatua tatizo la kiafya kutakuwezesha kuishi maisha bora.