Wataalam wa afya, wako wengi kipindi hiki, lakini wabobezi waliowekeza muda wao zaidi kufanya tafiti za kina kupata suluhisho la matatizo mbali mbali ya afya ni wachache, Wengi wamekuja na mpango mkakati lakini haukuweza kunufaisha jamii bali ndio umekuwa chanzo kikuu cha ugonjwa kuwa sugu.
Katika kutafuta suluhisho la kutibu UKIMWI unaosababishwa na HIV baadhi ya wataalam wa afya hususani wa " Conventional medicine "waliweka matibabu yajulikanayo kwa jina la " Antiretroviral Therapy" ambayo hayakidhi haja ya tatizo ipasavyo.
Moja ya shirika linalosimamia tafiti za afya katika nchi mojawapo ughaibuni linaloitwa " National Library of Medicine" ( NIH ), Limetoa ripoti ya kutoka katika Shirika la tafiti la dawa la " PubMed Central ( PMC ) " ambalo nanukuu maelezo yao
"Licha ya Tiba ya Antiretroviral Therapy kuwa na mafanikio makubwa na watu kuwa na kuamini uwezekano wa kumalizika kwa janga la UKIMWI kwa wale ambao wamehamasishwa kuchukua matibabu na wanaoweza kupata matibabu ya maisha yote, na magonjwa yanayoambatana na UKIMWI sio tishio kuu tena, lakini seti mpya ya shida zinazohusiana na VVU zimeibuka, na kusababisha ugonjwa kuwa sugu na kuenea kwa watu".
Taasisi ya afya ya Marekani ya " American Gene Technologies" haijaenda mbali na Taasisi nyingine kwa kugundua matibabu kama hayo ya Antiretroviral therapy lakini wamedhihirisha ya kwamba virusi vya UKIMWI huwa havionekani wakati mgonjwa anaendelea kupata tiba kwani vinajificha kwenye KITEKIUHAKI na hivo kinga ya mwili kushindwa kupambana navyo kwa sababu dawa kushindwa kuivifikia virusi vilivyokuwepo ndani ya KITEKIUHAKI, Na hivi virusi vinaweka makazi kwenye Kuteha T wakati wa matibabu na kuanza tena kujizalisha pindi matibabu yanapokuwa yameisha hivyo kupona kunakuwa hakuwezekani.
Kampuni ya NIHD yenye kutumia teknolojia ya hali ya juu katika utafiti wa dawa imefanikiwa kugundua dawa ya HIV ambayo ipo kwenye mfumo wa " Gene Therapy", iliyopewa jina la PHV-39 Solution (NogaviTM) na nyingine PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kusisimua kinga ya mwili zidi ya janga la HIV pamoja na magonjwa mengine sugu.
kwa ujasiri mkubwa kampuni ya NIHD inaiomba jamii iridhie matibabu yanayotokana na kampuni hii binafsi, kwani kutokomezwa kwa janga hili kuna manufaa makubwa katika ustawi na ukuaji wa jamii.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707
Neno la leo: Haujachelewa tafakari ufanye maamuzia1
No comments:
Post a Comment