JE WAJUA?
Dawa PHV-39 Solution ni dawa ambayo unaweza kuitumia katika hali kadhaa za mwili ili kuboresha afya yako.
Kwa wenye matatizo ya seli mundu (sicle cell disease)
Dawa PHV-39( Solution itakapotumika kwa mgonjwa wa seli mundu kwa viwango stahili na kuzingatia mda wa kutumia, itamsaidia mgonjwa kupunguza kasi ya kuumwa na mda wa kulazwa hospitalini.
Dawa hii itamsaidia kuondoa ulemavu wa viungo katika mwili, yaani hatua za ukuaji zitakuwa sawa na mtu asiyeumwa ugonjwa huo. Pia dalili za ugonjwa huo zitafutika na kuwa sawa na mtu hasiyeumwa ugonjwa huo.
Kwa watu walioathiriwa kwa kutumia dawa zingine kwa mda mrefu:
Wagonjwa wenye TB.
Wagonjwa hawa watakapotumia dawa za TB pamoja na dawa PHV-39 Solution hawatapata madhara yatokanayo na dawa za TB, yaani ganzi, weusi usiokuwa sawia, kudhoofu mwili n.k
Wagonjwa wenye HIV.
Licha ya kuwa inatibu lakini dawa PHV-39 Solution itakapotumika pamoja na ARVs inaondoa madhara yote yatakayosababishwa na ARVs. Yaani mgonjwa atakuwa na uwezo wa kutumia ARVs kwa mda mrefu bila ya kupatwa na madhara. Pia mgonjwa kamwe hawezi kutengeneza usugu wa virusi zidi ya dawa.
Walioathirika na dawa za kulenywa kwa mfano Heroin,
Dawa PHV-39 Solution inaondosha madhara yote ya dawa za kulevywa kwa kipindi kifupi tu.
Wagonjwa wa kumeng’enyuka mifupa na pingiri za uti wa mgongo (osteoporosis)
Dawa PHV-39 Solution itakapotumiwa na mgonjwa mwenye matatizo haya uponaji uanza baada ya miezi minne kupita na kurejea hali ya kawaida katika maisha yake bila ya kufanya upasuaji.
Kwa wagonjwa walio ungua na moto eneo kubwa mwilini
Dawa PHV-39 Solution itakapo tumika na madawa mengine ya matibabu ya moto inapunguza kujitengeneza mwilini makovu ya ulemavu wa moto, inapunguza mda wa kukaa hospitalini kwa mgonjwa, inaharakisha hatua za uponaji.
Vikohozi visivyosikia dawa( vikohozi sugu)
Dawa PHV-39 Solution itakapotumika pamoja na dawa za kikohozi usababisha kuondoa usugu wa kikohozi na hatimae kikohozi upona kwa mda mfupi.
Saratani (cancer)
Dawa PHV-39 Solution itakapotumika pamoja na dawa nyingine za saratani katika hatua za awali saratani hiyo utibika kwa asilimia mia. Hususani saratani ya kizazi, titi, jicho ,ngozi,n.k
Udumavu wa ukuaji kwa watoto.
Dawa PHV-39 Solution itakapotumika kwa mtoto mwenye udumavu wa hatua za ukuaji huondoa tatizo hilo na mtoto ukua vizuri kama watoto wasiopatwa na tatizo hilo.
Kinga zidi ya magonjwa yasumbuayo watoto wachanga
Dawa PHV-39Solution itakapotumika kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja usaidia kupunguza kasi ya kuugua mara kwa mara kwa mtoto, kulazwa hospitalini kwa mda mrefu na kusaidia hatua za ukuaji mzuri kwa mtoto.
Dawa PHV-39 Solution utumika pamoja na aina nyingine za dawa za mfumo wa PHVs kama vile, PHV-INHIBITOR, PHV-ACTIVATOR, PHV-VITALITY, PHV-30A414, PHV-26A414/OPTICAL, PHV-28/32A414 n.k kutibu magonjwa mengine kwa mfano, shindikizo la damu,(high /low pressure, uzazi,n.k)
Wadau wote tunawakaribisha, kwani Afya ni mtaji wa maisha yetu. Kwa maelezo zaidi kuhusu dawa za mfumo mpya wa PHVs Na magonjwa ya Binadam usisite wasiliana nasi kwa simu namba +255624066387 au +255782660707 au whatsApp +255782660707
Neno la leo ; kuwa mjanja linda Afya yako.