Wednesday, October 4, 2023

Je wajua?

Wagonjwa wengi waliotumia dawa za aina mbali mbali kwa kipindi kirefu huwa wanaweza kupatwa na hali ya utapia mlo  (marabsortion ) yaani  iwapo atakula chakula kinatoka kama kilivyo bila ya kubadirika.

Ukifikwa na hali hii kunywa maziwa ya mtindi kwani dawa ulizotumia ziliweza kuondoa au kuua wadudu wote waliokuwepo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula Wadudu hawa wanaishi ndani ya mfumo huo kwa faida ambayo Binadam anapata manufaa kwa uwepo wao

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...