Kipimo cha damu kinachoonyesha wingi wa virusi vya HIV mwilini ( viral load test) ni kipimo ambacho utumika kwa ajili ya ulinganifu wa utambuzi wa dawa za ARVs mwilini . Kipimo hiki si kwa ajili ya watu waliopima na kuthibitika kuwa hawana virusi vya HIV. Kusudio kubwa la kipimo hiki ni kuangalia ufanisi wa utendaji kazi wa ARVs dhidi ya mhusika si vinginevyo.
Kipimo hiki kimeamuliwa hivyo kutokana na mapungufu yaliobebwa na kipimo.
1. Kirusi cha HIV hakijawai kuonekana, kwa hiyo kipimo cha wingi wa virusi kinapata nguvu ya nadharia kutokana na nadharia ya mwenendo wa virusi vya HIV mwilini. Inasemekana kuwa kirusi cha HIV kikivamia seli kinazaliana ndani ya hiyo seli kwa idadi kubwa zaidi ya elfu moja ndani ya nusu saa na kupasua hiyo seli na kuvamiwa seli nyingine na virusi hivyo na kuendelea. Walichokifanya ni kuangalia vitu vinyotoka ndani ya seli baada ya kupasuka na kufanya uwiano kuwa seli imepasuka asilimia fulani ndio kisio la virusi na asilimia iliyobaki ni vitu vingine kutoka ndani ya seli. Hapa tunajiuliza je ikiwa seli itapasuka kwa sababu nyingine? Kwa hiyo kipimo kitaonyesha taarifa isiyokusudiwa.
2. Kipimo hakitumiki kwa asiyekuwa na maambukizi kwani kitaonyesha majibu ya uwongo kwa kuwa seli upasuka hata kama mhusika ana msongo wa mawazo.
3. Kipimo cha wingi wa virusi mwilini kinatumika tu kwa ajili ya kupima utendaji kazi wa ARVs tu kwa sababu hakina uwezo wa kubainisha hali halisi ya idadi ya virusi mwilini bali inatoa kisio la kwenye damu tu.
Kwa hiyo ni makosa makubwa kupimwa mwenye virusi vya HIV ambaye ametumia dawa za mfumo mwingine kwani kipimo hakitoweza kubaini vyema utendaji kazi wa hiyo dawa labda na yenyewe iwe katika mfumo wa ARVs.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707
Neno la leo: soma ili upate wepesi katika maisha, kwani dunia haikutambui kuwa wewe haujasoma bali inakushurutisha tu!
No comments:
Post a Comment