Tuesday, October 17, 2023

MTAZAMO WA WATU KABLA YA KUPATWA NA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Watu wengi wanapoambiwa na wataalamu wa afya  hata na wenzao walizoziona dalili kadhaa zinazopelekea kupatwa na shinikizo la juu la damu, hudharau huo ushauri, lakini niwatahadharishe pia name “ya kuwa ukijitambua kuwa una uzito mkubwa ambao haulingani na urefu wako tafadhali fanya bidii upunguze uzito, punguza ulaji wa kushiba sana,  

Uwe na mpangilio maalumu wa ulaji wa chakula (Wala sio kula hovyo njiani), fanya mazoezi, funga kula baadhi ya siku katika wiki.

Maswala haya ni muhimu sana iwapo umejitambua kuwa una uzito na unene wakupitiliza, kwani ugonjwa wa shinikizo la damu la juu ni ugonjwa unaotesa sana, hata hao wanaoumwa ugonjwa huo wanashindwa kujieleza vizuri wanavyojiskia na kubaki kusema dalili za kawaida ambapo watu wengi huchukulia kawaida tuh. Kwa maisha yako bora tafadhali chunga sana usipatwe na shinikizo la damu la juu!

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na magonjwa na dawa za mfumo wa PHVs wasiliana nasi namba ya simu +255782660707 au +255624066387 au whatsApp +255782660707 

Neno la leo;Usiposikiliza la mkuu, mguu uota tende.ota tende.

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...