Thursday, June 16, 2022

Fikra kuhusiana na chanjo

 Je wajua?

Seli zinazojihusisha na kinga za mwili  ndizo zinazoshikiria uhai wa mwili wa Binadam, haya  yalibainika tangu watafiti walipoanza kuanzisha matibabu  ya tahadhari (chanjo) zidi  ya mwili wa Binadam. Imeonekana ya kuwa  mwili wa Binadam unapopatwa na uwambukizo wa vimelea vya maradhi yenye kuanzia kundi la DNA namba 5, 23, 28 na zaidi, mwili  upata fulsa ya kutengeneza kinga, lakini hatua hiyo husababisha mahitaji makubwa yalio ya haraka ya chakula mwilini (njaa kali) ambayo hutokana na mahitaji  makubwa  ya uzalishaji  wa kinga mwilini. Hali hii usimamisha au kupunguza usambazwaji wa kila  siku wa chakula hitajika katika mifumo mingine  mwilini na kuifanya kuwa  hafifu katika utendajikazi mwilini. Kutokana na sababu hii  ghafla hamu ya chakula  inatoweka na kuanza kuhisi kushindwa kula kwa mhusika. Mwishowe hali hii usababisha kifo, kwa maana mifumo mingi ya mwili itakosa chakula na kusimama kufanya kazi. Kwa kuliona hili watafiti wa madawa ya Binadam  wakaja na utatuzi kwa kutumia dawa za kusisimua kinga (chanjo). Dawa hizi awali zilihusisha DNA namba 6, 23, 29 na zaidi ambazo zipo katika  external storage of natural dependant nuclear plant ya mwili wa Binadam lakini  hivi sasa watafiti wa nchi za magharibi wameanza kujua namna ya kutengeneza chanjo zifaazo kuanzia DNA namba 20,21,22 kwa ajili ya ugonjwa  wa COVID-19 na nchini Tanzania Chanjo PHV ambayo kwa hivi sasa inaitwa PHV-39 Solution ambayo ni chanjo kuanzia DNA namba 14. Chanjo za awali hutengenezwa na vimelea vya maradhi ambavyo ni vimehasiwa na havina  uwezo wa kuzaliana sana iwapo vitaingizwa ndani ya mwili wa Binadam. Kwa hiyo vitasimamisha hitajiko kubwa la chakula na kufanikisha mwili  kutengeneza kinga kwa kiwango fulani ambacho kitasaidia mahitaji makubwa  ya chakula mwilini pindi  utakapopatwa na maradhi  mapya ya uwambukizo ulioanzishiwa chanjo husika. Kwa hiyo chanjo  haizuii kuumwa bali up upunguza  hitajiko kubwa la chakula mwilini pindi utakapopatwa na maambukizo husika na kuzuia kifo kinanachotokana na kusimama kwa mifumo mingine mwilini kwa sababu la hitajiko kubwa la chakula mwilini.

Kwa maelezo zaidi  kuhusu PHV-39 Solution, na magonjwa sugu na afya ya Binadam, wasiliana  nami  kwa simu namba +255782660707, au +255624066387 au whatssap kwa namba hizo.

Neno la Leo, yule ambaye ya jana yake na ya leo yake ipo sawa basi ajue ana hasara kubwa!

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...