UHALISIA WA AINA YA VIPIMO.
Upimaji wa HIV ufanya na vipimo vya serological test (ni aina ya vipimo ambavyo utegemea wingi wa uwepo wa aina fulani za kinga mwilini ambazo zimeongezeka mwilini kutokana na mazalia ya vitu vinavyozalishwa na virusi au uwepo wa kitu kigeni mwilini) na vipimo vyenye kufanya utambuzi wa vinasaba vya kirusi lengwa (PCR).
Vipimo vya aina ya Serological test vinavyotumika kwa ajili ya HIV ni;
1. Bio line,
2. Uni gold.
Vipimo hivi vinategemeana kwa pamoja ili kupata usahihi wa uwepo halisia wa kinga zinazochochewa na uwepo wa virusi vya HIV mwilini. Vipimo hivi vinahitaji mda fulani wa virusi vya HIV kuishi mwilini ili viweze kusisimua kinga hitajika na kipimo kiweze tambua ongezeko la hizo kinga.
Mtazamo uliobebwa na vipimo hivi inatokana na uchunguzi wa hitimisho la virusi vya HIV mwilini. Imetambulika kuwa hakuna dawa ya kutibu HIV, kwa hiyo iwapo umepatwa na uambukizo wa HIV, virusi vitaendelea kuishi mwilini na kusababisha hali ya usugu ambao ndio utasababisha kusisimuliwa kwa wingi kinga husika.. Vipimo hivi uchukua masiku kadhaa tangu virusi kuingia ndani ya mwili wa Binadam ndipo viweze kutambua. Kipindi cha matazamio ya Virusi vya HIV mwilini viweze kutambulika kitaalam kinajulikana kwa neno WINDAW PERIOD.
Pia kuna baadhi ya watu wenye matatizo katika mifumo yao ya kinga ambayo usababisha kutozalishwa kinga husika mwilini na vipimo hivi kushindwa kutoa jibu sahihi juu ya uwepo wa virusi vya HIV mwilini..
Vipimo hivi kwa sasa vimepitwa na wakati, kwani tayari kuna dawa ambazo zinatibu HIV kwa asilimia 100. Vipimo hivi ni vya utambuzi tu unao-onyesha kuwa mtu fulani amewahi kupata maambukizi bali havina uwezo wa kuonyesha kiuhalisia kuwa mtu huyo amepona.
dawa halisi inayotibu HIV haipambani na kinga bali inapambana na virusi vya HIV tu. kwani chanzo cha kinga ni ndani ya mwili wa Binadam na ni hali ya kawaida ya mwili kufanya hivyo kwa ajili ya kujilinda na virusi vya HIV visisababishe madhara ya saratani mwilini. lakini virusi vya HIV chanzo chake ni nje ya mwili. Utengenezaji wa dawa kwa kawaida utajihusisha na chanzo kimoja tu. Licha ya kuwa dawa imefanikiwa kuviua virusi vyote mwilini, vinavyosisimua ongezeko la kinga husika mwilini bado mhathirika wa virusi vya HIV akipima tena ataonekana POSTIVE. Sababu ya kuwa hivyo ni mfumo unaobeba damu upo sealed kwamba zilizokwisha tengenezwa zitabaki ndani ya mfumo wa damu zikizunguka mwilini pamoja. ila kama mhusika ni mtoto mdogo wa mwezi mmoja au chini ya hapo akitibiwa vizuri kuna uwezekano mkubwa wa kuwa NEGATIVE pindi afikapo umri wa miezi mitatu kwa kuwa watoto ubadirika damu ya utoto na kuwa ya watu wazima katika kipindi cha umri wa miezi mitatu. katika kipindi hiki ndipo ile sealed iliyokuwepo katika mfumo wa damu uruhusu utolewaji wa kinga ziszostahiki kuwepo kulingana na hitaji la mwili. Pia inawezekana kipimo kikafifia au kuwa NEGATIVE kwa mtoto anaendelrea kukua kutokea umri wa miezi mitatu kwa sababu kinga haziendelei kuzalishwa na ujazo wa damu unaongezeka kulingana na umri na hatimae uwa kipimo NEGATIVE. Kwa watu wazima kawaida ujazo wa damu ubakia pale pale na zile kinga husika zitatambulika kwa kipimo na kuonyesha POSITIVE ila hali hana virusi husika tene ndani ya mwili wake.
Iwapo itaonekana kuwa kuna umuhimu wa kiafaya kuziondoa hizi kinga kwa kiwango fulani, basi tafiti zenye umakini juu ya afya ya Binadam zinahitajika zifanyike.
kipimo cha PCR, ni kipimo ambacho kinapima sehemu tu ya kiwiliwili cha kirusi. kipimo hiki hakionyeshi uhai wa kirusi ila kinaonyesha masalia ya mabaki ya kirusi ambayo kutokana na hoja ya kutokuwepo dawa ya kutibu HIV kwa asilimia 100, kipimo hiki ndipo kinapata mwanya wa kuaminika kufanikisha usahihi wa uwepo wa virusi vya HIV mwilini.
Haya yote yamejiri kwa sababu ya dhana zilizojengwa tangu miaka 1980 kuhusiana na virusi vya HIV.
No comments:
Post a Comment