Tuesday, November 28, 2023

HARAKATI ZA KUTOKOMEZA UKIMWI TANZANIA

Wataalam na taasisi Duniani za afya zinafanya tafiti mbali mbali kutafuta suluhisho la janga la UKIMWI, Miezi minne iliyopita serikali ya Tanzania iliamua kuweka azimio kabla ya miaka 10 kufika tatizo hili liwe lishapata suluhisho. Chanzo cha habari kutoka bunge la Tanzania inasema; 

Sheria imeruhusu mtu kujipima mwenyewe virusi vya UKIMWI. Sheria hii imeruhusu kijana kuanzia miaka 15 anaweza kupima HIV ili kutambua afya yake. 

Licha ya kurahisisha sheria za upimaji HIV, Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi za Afrika ambazo idadi ya maambukizi na vifo vya walioathirika imepungua, kutokana na uboreshaji wa mifumo ya afya , Ofisi ya waziri mkuu ya jamhuri ya muungano Tanzania imetoa takwimu ifuatayo; 

Tanzania imepunguza maambukizi ya HIV kwa asilimia themanini na nane (88%) na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa  asilimia hamsini (50%) kutoka idadi ya vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Takwimu hizi zimetolewa na serikali ambazo ni matokeo chanya katika mapambano yalioshirikisha Taasisi binafsi za afya kuuthibiti UKIMWI. 

Hayo yamelezwa mnamo tarehe 13/04/2023 Jijini Dodoma, Wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini ya hali ya UKIMWI nchini katika semina ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI. Serikali itaendelea kuweka jitihada katika kuzuia maambukizi mapya ya VVU na kuimarisha huduma za upimaji na matumizi ya ARV kwa makundi maalum, kuimarisha huduma za kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ili kutokomeza kabisa maambukizi hayo. 

Taasisi ya NIHD ambayo imefanya utafiti kuhusu tiba na kinga ya UKIMWI, imefanikisha katika utafiti binafsi wa miaka 26 takribani na kubaini kinga na tiba ya ugonjwa huu.

Dawa PHV-39 Solution (NogaviTM) na PHV-30A414 (PatriotTM ) ni dawa ambazo zinakidhi uponaji na kinga zidi ya janga la UKIMWI pamoja na magonjwa mengine sugu. Dawa hizi tayari zimefanyiwa uthibitisho juu ya utendaji kazi wake na kuanza kutumika katika nafasi yake ya mbadala uliokuwa sahihi kwa mwenye kuijali afya yake.

Kwa ujumla dawa kutoka tasisi ya NIHD zimefanikiwa kuanza kutokomeza janga la UKIMWI pamoja na baadhi ya magonjwa sugu, hivi sasa watu waliowahi kutumia dawa hizi tangu mwaka 2015, baadhi wamepona na kuendelea na shughuri zao za kiuchumi bila ya ugonjwa, watoto wanaenda shule na kufanya vizuri katika ufaulu wao, wajawazito wanajifungua salama bila ya maambukizi kwa watoto wao, wenza wapo salama bila ya maambukizo. 

Licha ya UKIMWI dawa hizi zimekuwa tegemezi kwa afya ya watoto wachanga na wale wote wanaosumbuka na magonjwa sugu.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya wa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707

Neno la leo: Maendeleo yanapatikana baada ya kuthamini kazi mlizozifanya

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...