Wednesday, November 15, 2023

Je wajua?

Tabia ni sawa na njia iliyozoeleka. Ni njia ambayo imeweka alama za mapito ambayo inajenga mazoea kwa Binadam kuifuata. 

Iwapo tabia hiyo umetambua kuwa si njema katika maisha na umeamua kuiacha basi ujue ni sawa kuiacha njia uliyoizoea na kupita sehemu ambayo awali hakuna mapito ya kirahisi kama vile unapita kwenye vichaka vya porini. 

Changamoto za kubadili tabia ni sawa na changamoto za kuacha njia na kuingia vichakani ambapo utakutana na vizuizi ambavyo vitakushawishi kuirejea njia ya awali. Kwa hiyo suala la kubadili tabia unahitajika ujidhatiti haswa na usikate tamaa na unapohisi kushindwa chukia na ujipe moyo kuwa hakuna kushindwa hapo ndipo utafanikiwa na kubadili tabia. 

Kubadili tabia ni mchakato unaofanywa na mwili pamoja na akili ukigharimu mda mrefu kidogo lakini inategemea namna ya hiyo tabia ilivyokuathiri.

Watu wenye kutumia madawa ya kulevya wameathirika na tabia za matumizi ya hayo madawa na madawa yenyewe. 

Kwa kutumia dawa Nucleated PHV-39 Solution  itaondoa madhara yote ya madawa ya kulevya itabakia tabia ambayo muhusika anahitajika kuikataa kutokana na madhara aliyoyapata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya. Dawa Nucleated PHV-39 Solution itamsababishia awe anapenda sana kula chakula badala ya madawa ya kulevya hapo ndipo atapata wepesi wa kuacha matumizi ya dawa za kulevya.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.

Neno la leo: Afya ni mtaji wa maisha bora

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...