Wednesday, November 8, 2023

Umuhimu wa teknolojia mpya katika uboreshaji wa Afya ya jamii

Dunia ili iwe salama katika suluhu zilizotokana na  teknolojia lazima kuwe na uendelevu wa tafiti za kisayansi, kwani teknolojia mpya zinazogundulika zinatambua mabaya yaliyopita katika suluhisho lilofanyika kwa kutumia teknolojia ya zamani.

Kutokana na kupatikana kwa teknolojia mpya jamii ya wataalam wanapaswa kuzitumia ili kubaini mapungufu yaliyopo kwenye mambo ambayo zamani tulijiridhisha kuwa yapo sawa hususani katika afya. 

Tunatumia dawa za aina nyingi ambazo zimepitwa na wakati kwa kukosa kufanyiwa uchunguzi upya kwa kutumia teknolojia mpya kwa kuogopa kuharibu biashara za watu, hii inasababisha kuendelea kutumia madawa ambayo yamepitwa na wakati kwani tutaendelea kutumia dawa zilizopitishwa na teknolojia ya zamani ambazo zinamapungufu katika kubaini mapungufu ya dawa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.


Neno la leo:  kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...