Thursday, November 2, 2023

Namna ya upatikanaji jinsia kwa watoto

Mbegu za kiume zinahitaji yai la mwanamke ili ziungane kwa pamoja na kufanya mtoto ndani ya mji wa mimba. Licha ya mbegu hizi kubeba huluki za kemikali asilia ambazo ni pungufu hadi zijumuishe zile zilizo ndani ya yai pia ubeba vivuli vya uhalisia wa utendaji kazi wa mwili wa mwanaume kwa mfumo wa mionzi ya usumaku. Mionzi hii ya usumaku ya mwanamme ina nguvu zaidi kuliko ya mwanamke kwa sababu ya mwanamke imebeba vitu vingi ndani ya mwili ukilinganisha na ya mwanamme. Yaani nguvu ya mionzi hiyo kwa mwanaume ni asilimia 50 na asilimia 50 inatumika kuendeshea mwili wakati mwanamke anatumia asilimia 60 kuendeshea mwili wake na asilimia 40 tu ipo kwenye mayai. Lakini mionzi hii hudumu nje ya mwili wa asili kwa mda wa masaa 12 tu, na hii ndio sababu ya kuwa na nafasi kubwa ya kupata mtoto wa kike kuliko mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume upatikana baada ya mbegu za kiume zilizokuwa sawia kukutana na yai la mwanamke katika kipindi kisichozidi masaa manane, ila baada ya hapo mionzi ya usumaku ndani ya mbegu iliyobeba taswira ya mwanaume inapungua na kuipa nafasi ya mwanamke kushika hatamu. Mbegu za mwanamme uishi ndani ya mji wa mimba takribani kwa masaa 72 lakini zikiwa hazina mionzi ya usumaku uliobeba taswira ya mwanamme. Mbegu hizi ulelewa zikiwa hai kwa msaada wa miozi ya sumaku ya mwanamke. Hii ndio sababu ya kuwa na idadi kubwa ya uwezekano wa kupatikana kwa watoto wa kike kuliko wa kiume.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo mpya za PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660707.

Neno la leo: Iwapo unaweza kuishi maisha ya zama za mawe hivi sasa kwa nini usiishi maisha ya mwaka 4000 au zaidi kwani maisha ya mwaka 4000 ni mharubaini wa changamoto zote za maisha ya hivi sasa! Karibu tujumuike na teknolojia za mwaka 4000.

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...