Thursday, September 21, 2023

MSONGO WA MAWAZO

Watu wengi wanashindwa kutambua hali ya msongo wa mawazo, Msongo wa mawazo ni hali inayompata mhusika wa hali na kufanikiwa kubadilisha mwenendo sawia kuwa katika hali isiyohitajika na mwili katika hali ya kawaida. Kwa mfano, siku zote nyumbani kwako unapika chakula jikoni, japokuwa unatambua kuwa moto ni hatari, lakini hatari hiyo unavyoichukulia ni kitu cha kawaida, ila iwapo siku moja ukaanguka kwenye moto huo siku nyingine ukiwa unapika jikoni tahadhari kubwa utaichukua kuliko ulivyokuwa unafanya mwanzo. Tahadhari ya hofu itabadilisha utaratibu wako uliouzoea, hivi ndivyo msongo wa mawazo unavyoweza kufanya kazi unabadilisha mifumo na seli mwilini na kuondosha uwiano wa utendaji kazi na kusababisha magonjwa. Msongo wa mawazo unaweza kusababishwa na elimu ndogo ya mazingira uliyoizoea kutoka kwa wazazi na walezi wakati unakua kuelekea utu uzima. Wakati mwingine msongo wa mawazo ujitengeneza iwapo mlezi au mzazi hasipowajibika ipasavyo katika kumpatia malezi bora mtoto. Kwa ufupi msongo wa mawazo  ujitokeza iwapo mhusika amekosa uvumilivu wa kukabiliana na changamoto ya mazingira yanayomzunguka kwa kukosa uwezo wa kutafakari kwa usahihi na kumudu hali inayojitokeza. Uwezo wa kiumbe kumudu msongo wa mawazo unaanza kwenye mpangilio wa seli zake mwilini, iwapo seli hizi zimeshindwa kuendana na hali, usambaratika na kuharibu uwiano wa utendaji kazi wa mwili na kusababisha magonjwa ya mwili kwa kadri ya hali na ukubwa wa msongo wa mawazo. Mazingira yanayo mzunguka Binadam katika hatua zake za ukuaji zinawezesha mwili kutengeneza seli ambazo zitaweza kushinda msongo wa mawazo katika maisha.  

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255624066387 au +255782660707 au whatsApp +255782660707

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...