Tuesday, September 12, 2023

Historia za dawa zilizopita na mfumo mpya wa dawa

 Je wajua?

Kipindi tunapata uhuru wa Tanganyika ilibainika baada ya kufanyika sensa ya watu kuwa watanganyika walikua idadi ndogo isiyofikia hata milioni moja lakini hivi sasa Tanganyika (Tanzania bara) ina watu zaidi ya milioni hamsini, japokuwa kuna ongezeko la watu kutokana na uhamiaji wa kutoka nchi za nje lakini haiwezi kuwa sababu kubwa la ongezeko la watu namna hiyo. Na tukisema kuwa labda miaka ya 1700 ndio ulikuwa mwanzo wa watu kuishi Tanganyika bado kuna ushahidi kuwa katika eneo hili watu waliishi mda mrefu uliopita usiojulikana. Sasa ni kitu gani kimesababisha hili ongezeko kubwa la watu, unakuta kuwa ni uboreshaji wa huduma ya afya ambao ulifuata muongozo wa desturi za watu wa magharibi.

Asilimia kubwa ya watu kabla ya uhuru walipata huduma za afya kupitia tiba asili ambayo haikuwa na usimamizi mzuri na kusababisha watu kuwa na imani zisizosahihi juu ya ukweli wa afya zao na kusababisha vifo vingi hususani vya mama na mtoto. Baada ya uhuru serikali iliboresha huduma ya afya kwa kuirasimisha huduma ya afya zenye utamaduni wa nchi za kimagharibi ambapo ikawa ni mbadala wa tiba asili na kuleta mafanikio makubwa la ongezeko la watu. Ubora huu wa tiba ya afya kwa mifumo ya kimagharibi imejenga imani kubwa kwa  jamii na kusababisha tiba asili kusahaulika. Licha ya kuridhika na tiba ya mifumo ya nchi za kimagharibi bado kuna mapungufu ya mbinu za matibabu zinzotokana na mfumo huu mpya. Kwa mfano dawa asilimia kubwa zinazotumika zimegunduliwa miaka 1950 hadi  1970 ambazo zimepitwa na wakati katika ubora unaotakikana hivi sasa. Dawa zimekuwa zina madhara mengi kwa kubeba vitu visivyohitajika kutokana na teknolojia iliyotumika katika utengenezaji wa dawa hizo. Pia nadharia iliyobeba utengenezeji wa dawa hizo zimepitwa na wakati. Inaonyesha dhahiri dawa hizi hazitibu ipasavyo bali zinambadilishia mgonjwa maradhi ambayo hasipo pata lishe bora baada ya kipindi fulani kupita husababisha aina nyingine ya ugonjwa. Kwa hiyo nadharia zilizobeba  utengenezaji wa dawa zinahitajika zibadilishwe ili kwenda na wakati. Sisi tumekuja na nadharia tofauti ya utengenezaji wa madawa ambayo inaendana na wakati. Mfumo ambao umeanza kuingia Duniani miaka ya 1990 kutokana na uchunguzi tulioufanya ambao umebainisha kuwa kumbe kuna watu Duniani tunafanana mawazo katika nyanja za utafiti, lakini mfumo huo huko ughaibuni bado wataalam wanashindwa kuuboresha kwa kukosa maarifa toshelezi. Wataalam hao mfumo wao wanauita kwa jina la Gene therapy, ni sawa na mfumo tunaoutumia, lakini sisi tumeendelea zaidi kuliko wao kwani, sisi ni wabobezi katika elimu inayohusu Binadam katika kiwango cha molekyuli na dawa zetu ni za mfumo wa sumaku (magnetic therapy) ambayo imebeba Gene therapy. Mfumo huu ndio unaotumika kutengeneza dawa za PHVs.

Dawa zinazotengenezwa na mfumo huu zimeweza kuboresha hali ya matibabu nchini kwani magonjwa ambayo yalikuwa hayatibiki hivi sasa yanatibika kwa mfano HIV,homa ya ini (HEPATITIS B), kupooza (POLIO), COVID-19, kumeng’enyuka mifupa,pingili (OSTEOPOROSIS), POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROM, seli mundu (SICKLE CELL DISEASE), udumafu wa ukuaji kwa mtoto (GROWTH RETARDATION), madawa ya kulevya isipokuwa sigara na bangi, kuodoa madhara ya madawa kama vile dawa za TB, ARVs, cocaine n.k magonjwa yote haya yanatibika na dawa moja inayoitwa PHV-39 Solution. Dawa hii inauwezo wa kuua kwa usalama mwilini aina mbalimbali za virusi, pia inarekebisha seli zote za mwili kurejea katika asili yake pamoja na mifumo unganishi mwilini. Pia kuna dawa inayoitwa PHV-30A414(PHV-AXIAL3), dawa hii inarejesha mfumo wa kinga kupitia Immoglobulin M (IgM) ambayo inaipa kila seli (kuteha) za mwili wako uwezo wa kujikinga iwapo mifumo mikubwa ya kinga imeshindwa kukinga mwili kwa wakati husika. PHV-26A414  (PHV-AXIAL2), dawa hii inasadia mwili kuwa katika hali ya utulivu, hususani mda wa usiku na unapo amka mwili huwa shwari bila ya maumivu mwilini. PHV-28/32A414 (PHV-DIAXIAL4) ni dawa ambayo unaufanya mwili kuwa na furaha yaani kama umepata usingizi unakuwa usingizi mzuri wenye ndoto za kupendeza kwako, na iwapo utaona jambo la kuleta furaha basi utafurahi kwa kiwango kinachostahili cha asili ya Binadam. PHV-ACTIVATOR, dawa hii inapunguza kitambi na kurejesha vyema kasi ya mzunguko wa damu mwilini, dawa hii ni nzuri kwa watu wenye presha ya kupanda na wale kina mama wenye kifafa cha mimba. PHV-INHIBITOR ni dawa ambayo inarejesha hali ya tendo la ndoa. PHV-VITALITY ni dawa ambayo inajenga ujasiri wa mwili kiafya,

Kwa maelezo zaidi kuhusu dawa za mfumo wa PHVs na magonjwa ya Binadam wasilana nasi kwa simu namba +255624066387, au +255782660707 au whatsApp +225782660707.

Neno la leo; Wazazi waekeeni misingi mizuri ya maisha watoto.

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...