Thursday, September 28, 2023

Je wajua?

Ni vyema  mtu kujitolea kupata elimu kiasi kuhusu magonjwa yanayoisumbua jamii sana. Kama vile magonjwa ya watoto wadogo na baadhi ya magonjwa kama vile Saratani ya fuko la uzazi, Saratani ya tezi dume, Saratani ya koo, HIV,  UTI, Malaria, Magonjwa ya kuhara, Kisukari, kifafa cha mimba, Shindikizo la damu kuwa juu au chini, Sonona na magonjwa ya ngozi. Ukiyafaham magonjwa haya utakuwa ni mwelewa wa namna ya kujikinga na kuchukua hatua maghsusi katika tiba sahihi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Dawa za mfumo PHVs wasiliana nasi kwa simu namba +255782660707 au +255624066387 au WhatsApp +255782660708

No comments:

Post a Comment

TUJIKUMBUSHE TUMETOKA WAPI NA HIVI SASA TUPO WAPI

Mwaka 1983; Bukoba, Ugonjwa HIV/AIDS umeshititi miongoni mwa watu wazima na kuacha watoto wadogo yatima, wakazi wa vijijini waanza kukimbia ...